MAFUNZO kwa wanafunzi watakaotumia teknolojia ya mawasiliano na habari (Tehama) katika masomo ya sayansi ikiwamo hesabu yameanza katika maktaba ya maarifa ya jamii Madaraka Nyerere katika shule ya sekondaru Nyegina.
Mkuu wa Shule ya sekondari Nyegina, Mwalimu Boniphace Luzangi akifungua mafunzo hayo alisema wanafunzi watakaotumia teknolojia ya mawasiliano na habari (Tehama) katika masomo ya sayansi ikiwamo hesabu watafungua sura mpya ya ufauru wa masomo hayo katika shule ya Nyegina.
No comments:
Post a Comment